DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

  1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
  2. Kupatwa na Maumivu ya mgongo na kiuno
  3. Kupungukiwa na hamu ya kufanya mapenzi
  4. Kupata kizunguzungu
  5. Kukosa usingizi
  6. Kupata Usingizi wa mara kwa mara
  7. Kupata Maumivu makali sehemu ya mwili
  8. Kupata Maumivu Makali kwenye Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali – Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
  9. Kusikia Kichefuchefu
  10. Kusikia Kiungulia
  11. Tumbo kujaa gesi
  12. Tumbo kuwaka moto
  13. Kupata Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
  14. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
  15. Kutapika nyongo
  16. Kutapika damu au kuharisha
  17. Baadhi ya Sehemu za mwili kupata ganzi
  18. Kukosa hamu ya kula
  19. Kula kupita kiasi
  20. Kukuwa na hasira nyingi bila sababu maalum

Wasiliana nasi Kashaga Company Clinic ya Tiba ASILI Piga Simu +255656302000 AU 0757945601

__
BAADHI YA HUDUMA TUNAZOTOA
__
>Vidonda vya TUMBO
>Bawasiri (mgoro)
>Ngir (Henia)
>MARADH Sugu (Sukari,PRESHA N.k
>Kukuza na Kunenepesha MAUMBILE
>Kurejesha NGUVU na Uimara WA MAUMBILE
>Kupunguza KITAMBI na MINYAMA UZEMBE
>Kuotesha NYWELE (Vipara)
>Kurefusha NYWELE
>Kunenepesha na Kunonesha Mwili
>Changamoto zote za Ngozi
>Changamoto za UZAZI wanawake na wanaume
>Tatizo la ndevu Kwa Wanawake
>PID, UTI Sugu na Hormone Imbalance
>Uvimbe kwenye kizazi N.k
_
TUNAPATIKANA
__
Dar es Salam |Kariakoo , Mtaa wa Tandamtii|Fika kituo Cha Polisi cha Msimbazi/Au Stand ya Mwendokasi Ulizia Msiki wa Madina Jengo letu liko Opposite na Msikiti

Piga Simu 0656302000 AU 0757945601

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *