SABABU ZA KUPATA UGONJWA WA NGIRI

Ukiondoa hernia inayotokana na upasuaji wa awali, mara nyingi hakuna sababu inayoeleweka ya kusababisha hernia. Watu walio kwenye hatari zaidi ya kupata hernia ni wenye umri mkubwa, na wanaume wapo kwenye hatari zaidi kuliko wanawake.

Hernia inaweza kujitokeza mtoto anapozaliwa au kwa watoto waliozaliwa na dosari kwenye kuta za matumbo yao.

Shughuli au madawa yanayosababisha mgandamizo kwenye kuta za tumbo vinaweza kusababisha hernia. Vitu hivi ni pamoja na:

  • Kujikamau kwa nguvu wakati wa haja kubwa kutokana na choo kuwa kigumu
  • . Kikozi cha mara kwa mara
  • . Kuwa na tatizo la cystic fibrosis
  • . Kuvimba kwa tezi dume
  • . Unene wa kupindukia
  • . Kukojoa kwa shida
  • . Kunyanyua vitu vizito
  • . Maji tumboni
  • . Lishe duni
  • . uvutaji wa tumbaku
  • . Korodani zisizoshuka
  • . Uchovu wa mwili


DALILI ZA NGIRI CHANGA KWA MWANAUME

1. Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2. Kupiga mingurumo tumboni.
3. Kujaa gesi tumboni.
4. Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5. Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6. Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7. Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8. Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia  hupati nguvu tena mpaka kesho.
9. Nuru ya macho hupotea taratibu.
10. Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11. Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12. Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13. Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14. Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto

DALILI ZA NGIRI (HERNIA) SUGU( iliyo komaa)

1. kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
2. kuvimba   Juu ya kinena kushoto au kulia
3. kufanyiwa UPASUAJI wa  herbia mara 1
4. Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
5. kende( pumbu) kupotea zote au moja
6. Kenda kujaa maji.
7. Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wwnye kujaa kama nyama
8. Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani
9. Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.
10. Maumivu/Kusikia kichefuchefu/

Wasiliana nasi Kashaga Company Clinic ya Tiba ASILI Piga Simu +255656302000 AU 0757945601

Tiba ya NGIRI / HERNIA Tsh 120,000/=
__
BAADHI YA HUDUMA TUNAZOTOA
__
>Vidonda vya TUMBO
>Bawasiri (mgoro)
>Ngir (Henia)
>MARADH Sugu (Sukari,PRESHA N.k
>Kukuza na Kunenepesha MAUMBILE
>Kurejesha NGUVU na Uimara WA MAUMBILE
>Kupunguza KITAMBI na MINYAMA UZEMBE
>Kuotesha NYWELE (Vipara)
>Kurefusha NYWELE
>Kunenepesha na Kunonesha Mwili
>Changamoto zote za Ngozi
>Changamoto za UZAZI wanawake na wanaume
>Tatizo la ndevu Kwa Wanawake
>PID, UTI Sugu na Hormone Imbalance
>Uvimbe kwenye kizazi N.k
_
TUNAPATIKANA
__
Dar es Salam |Kariakoo , Mtaa wa Tandamtii|Fika kituo Cha Polisi cha Msimbazi/Au Stand ya Mwendokasi Ulizia Msiki wa Madina Jengo letu liko Opposite na Msikiti

Piga Simu 0656302000 AU 0757945601

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *